Author archive: @odhiamboluis

The First of it's Kind Social Media Marketing Seminar in Tanzania

The First of it's Kind Social Media Marketing Seminar in Tanzania

Social media has become a podium that is easily accessible to anyone with internet access. Increased communication for organizations fosters brand awareness and often, improved customer service. Additionally, social media serves as a relatively inexpensive platform for organizations to implement marketing campaigns Marketing (in general) is one of the largest expenses any company, large or small,…

iPhone 5 weighs 73 grams less than Samsung Galaxy S3

iPhone 5 weighs 73 grams less than Samsung Galaxy S3

And just like that, months and months of breathless speculation have finally come to an end. Apple’s Phil Schiller has just officially announced the new iPhone 5 at the company’s massive press event here in San Francisco, less than a year since its predecessor was unveiled. Some of the news won’t come as much of…

Umejipanga utaongea nini kwenye ukurasa wa kampuni yako katika mitandao ya kijamii?

Umejipanga utaongea nini kwenye ukurasa wa kampuni yako katika mitandao ya kijamii?

Makampuni mengi yanarahisisha mtazamo wao kuhusiana na social media marketing. Wengi wanadhania jambo la muhimu ni kufungua tu kurasa kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Youtube au kua na blog. Bila kufikiria nini watakachokua wanaongelea kwenye kurasa hizo. Ni muhimu kwa kampuni kujihusisha katika matangazo kupitia mitandao ya kijamii lakini jambo la muhimu zaidi…

Njia za kuongeza LIKEs kwenye ukurasa wa facebook

Njia za kuongeza LIKEs kwenye ukurasa wa facebook

Kampuni au biashsra ndogo inapoamua kuanzisha ukurasa wa facebook (Facebook page) wanatarajia watu watakuja na kujiunga (Like) na ukurasa wao. Lakini mara nyingi haiko hivo. Ni pale njia mbali mbali zinapotumika kuhamasisha watu kujiunga(Like) ndipo ukurasa wa kampuni unaweza kupata watu. Kuna njia nyingi za kutumia kati ya hizo kuna nzuri na ambazo sio nzuri….

five roles of a social media strategist

five roles of a social media strategist

Wanted: Professional yet personable risk taker with a knack for engaging with strangers and the ability to ooze charisma and charm via the written word while adhering to brand guidelines. Strong communicator, adept analyst, skilled promoter and experienced policy maker. Oh, and intimate knowledge of Facebook, Twitter, LinkedIn, Google+, MySpace, Pinterest and Tumblr is required. (It’d…

Fursa ya Biashara katika Software za simu (Mobile Apps)

Fursa ya Biashara katika Software za simu (Mobile Apps)

Dunia ya biashara inabadilika kwa haraka sana, iwe ni biashara kwenye mtandao au zisizo za mtandao  na kadri  changamoto mpya zinapoendelea kutokea, wanadamu pia tunagundua njia mpya, na rahisi ya kupata pesa na kustawi. Bila kujali nini wanaongea watu wenye fikara hasi, daima kuna mbinu nyingi za kutumia kwa ajili ya kujipatia fedha katika soko lolote,…

Menu