Makampuni mengi yanarahisisha mtazamo wao kuhusiana na social media marketing. Wengi wanadhania jambo la muhimu ni kufungua tu kurasa kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Youtube au kua na blog. Bila kufikiria nini watakachokua wanaongelea kwenye kurasa hizo. Ni muhimu kwa kampuni kujihusisha katika matangazo kupitia mitandao ya kijamii lakini jambo la muhimu zaidi…
Kampuni au biashsra ndogo inapoamua kuanzisha ukurasa wa facebook (Facebook page) wanatarajia watu watakuja na kujiunga (Like) na ukurasa wao. Lakini mara nyingi haiko hivo. Ni pale njia mbali mbali zinapotumika kuhamasisha watu kujiunga(Like) ndipo ukurasa wa kampuni unaweza kupata watu. Kuna njia nyingi za kutumia kati ya hizo kuna nzuri na ambazo sio nzuri….
Airtime, ni chat mpya ya video inayotoa huduma ambazo zinaakutanisha na marafikiwa wako, na watu ambao pia hujawahi kukutana nao, na kuanza kuongea. “Airtime, a new video chat service which connects strangers, promises an unwelcome return to the ‘Wild Wild West’ days of the early web, writes Emma Barnett.’’ Kama hujajua kuhusu Airtime,Airtime ni app…
Wanted: Professional yet personable risk taker with a knack for engaging with strangers and the ability to ooze charisma and charm via the written word while adhering to brand guidelines. Strong communicator, adept analyst, skilled promoter and experienced policy maker. Oh, and intimate knowledge of Facebook, Twitter, LinkedIn, Google+, MySpace, Pinterest and Tumblr is required. (It’d…
App mpya kutoka Recyclebank kwa ajili ya kuwa wapa moyo watumiaji wanaotembea na wanaendesha baiskeli kwa mda mrefu kwa kuwapa ofa na Punguzo la beig Re:route ni App mpya ambayo kwa sasa inapatikana kwenye iPhone, ambayo inamwezesha mtumiaji kukusanya points ambazo zinaongezeka kwa kutembea kwa miguu au baiskeli kwenye jiji la London. Points hizo zinaongezeka…
Katika kutizama kwangu filamu za marvel ,The avengers-watazamaji hatutaweza subiri mpaka mwisho wa filamu kushangiria kwani katikati ya action sequence katika onyesho la tatu la story, team nzima ya avengers,ikijumuisha Iron man, Hulk, Thor, Captain america, Hawkeye, na Black Widow, wana assemble kwenye screen na kufanya mtazamaji kubaki na butwaa.Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani…
Dunia ya biashara inabadilika kwa haraka sana, iwe ni biashara kwenye mtandao au zisizo za mtandao na kadri changamoto mpya zinapoendelea kutokea, wanadamu pia tunagundua njia mpya, na rahisi ya kupata pesa na kustawi. Bila kujali nini wanaongea watu wenye fikara hasi, daima kuna mbinu nyingi za kutumia kwa ajili ya kujipatia fedha katika soko lolote,…
Muziki ni moja kati ya vitu muhimu vinavyo tufanya tuweze kutuliza mawazo ya hapa na pale, wakati huo huo kutupatia burudani ya pamoja na marafiki zetu. Iwe ni kwenye concet, klabu, barabarani ukiwa kwenye Daladala, Bajaji aukutoka kwenye simu yako. Lakini hususani tunapenda kusikiliza na kucheza muziki tukiwa pamoja na marafiki. Sasa inakuaje pale ambapo upo…
If you were the right age in the late 90s, movies left a real impression on you. Think The Matrix; it was the first introduction to bullet-timing to most American audiences. In 2001, Max Payne brought that same slowed-down, action element to gaming audiences. Game developers Remedy said they were inspired by John Woo’s movies and The Matrix. Now…
Larry Page kicked off Google’s earnings call today with a run-down of his statements in the Founders’ Letter and some broad brushstrokes around the company’s new stock structure, which will see Google create a new class of shares, effectively a two-for-one stock split for existing shareholders. As with the company’s original two-class voting structure, Page today reiterated…